Welcome to the blog of Mr. Chesco Kilemile who is a renowned singer who came on in the industry singing gospel music. If you like this blog tourism will get to know my work and events relating to the preparation of my work in general ..... thank you for visiting this blog .....

Saturday, December 17, 2016

Mungu anatupenda  anawapenda wa afrika anapenda wa zungu anawapenda wa China waerabu wa hindi  hana ubaguzi wala upendeleo

Tuesday, December 13, 2016

Mwaka huu ni mwaka wa kuinuliwa na mafanikio mambo yote yliyo kwama mwaka huu yata fufuliwa  karibu mwaka huu 2017 tumutukuze mungu

Sunday, December 11, 2016

Mwaka wa kuinuliwa mwaka wa kubarikiwa jamani tuchape kazi kwelikweli

Friday, December 9, 2016

Nawapenda watu Mungu karibu kwenye blog hii utangaza biashara zako itafika wakati utatamani kutangaza hutapata nafasi

Wednesday, December 7, 2016

Comments yamgu for. Each viewer or musomaji wa blog hii msiacha kutosoma kila siku upate  kuondowa  msongo  wa  mawazo tujadiliane kwa pamoja mimi   nimepitia  mambo mengi  magumu sijaweza kuteteleka wala kukata tamaa nimeuona mkono wa Bwana ukinipigani je  kuna jambo gani   gumu asiloliweza Mungu? Hapana yote yana wezekana katika yeye atutiaye nguvu  huu ni mwaka wa kuinuliwa mwaka wa kicheko usiji nyonge usijiuwe Mungu ana kupenda kama ni msukosuko yakudaiwa Mimi nilidaiwa sana mpaka kuuziwa vitu vyangu lakini sikuteteleka hayo yote  yasikufanye ukakosa matumaini mtumaini Mungu

Monday, December 5, 2016

Mwaka unakalibia kuisha jitafakari je  niwapi umeshindwa jiulize tena wewe  umebaki kunawatu wengine unawajuwa na usio wa jua wamefariki  Mungu amekuacha kuna  kitu anataka ufanye umalizie.

Friday, December 2, 2016

Watanzania wenzangu tuchape kazi  tuchape kazi  majungu tuache Yesu anarudi dalili za kuludi zinaonekana watu watakuwa  wanajipenda .

Tuesday, November 22, 2016