Welcome to the blog of Mr. Chesco Kilemile who is a renowned singer who came on in the industry singing gospel music. If you like this blog tourism will get to know my work and events relating to the preparation of my work in general ..... thank you for visiting this blog .....

Sunday, June 28, 2015

WAPENDWA KATIKA BWANA SHALOM ; katika maisha usikate tamaa, vijana wengi wamekata tamaa aidha kuowa au shule imekuwa ngumu, na kazi hazipatiani [1]kuowa au kuolewa umechumbia mkakubariana kuowana mwenzio baada ya muda fulani akakutaa au umechumbiwa akakuacha. Nataka nikwambie huo siyo mwisho uskate tamaa Bwana yupo pamoja nawe usikate tamaa atkupa mwingine  huyo inawezekana ni ubavu wa watembo ubavu wako upo [2] kama umefukuzwa shule umekosa ada muujiza wako upo endelea kumuomba Mungu atakujibu tu yeye ni mwaminifu kuna ushuhuda mudogo na kupa kuna mdogo wangu alipofika kidato cha tatu akakosa ada ni kamshauli atulie akatulia mwaka mmoja ikafika siku akakutana na mzungu akachukua ujasili wa kumuelezea tatizo lake mzungu akakubali kusaidia  akaanza kusomatena pale alipo fikia hivi sasa ni odita wa mkowa angekata tamaa sijui leo ange kuwa wapi wewe ambaye umesoma umekosa kazi usifkilie kuhusu kazi Bwana atukupa kazi omba omba usikate tamaa Yesu anakupenda kila view wa blog hii kama unapitia hayo hapo juu katika jina la Yesu Mungu na akusaidie amen.

No comments:

Post a Comment