Mgombe wa urahisi kwa kupitia tiketi ya cha cha mapindizi ccm Dr. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Buhigwe, manyovu kigoma leo akiwaomba kura na ridha ya kuwa rahis wa jamhuri ya kidemokrasia ya muungano wamchague kuwa rahis apate kuwatumikia vyema.
No comments:
Post a Comment