Saturday, September 19, 2015
MGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CHADEMA
Mgombea ubunge jimbo la vwawa mkoani mbeya bwana fanuel mkisi amewaahidi wananchi wake ambao asilimia y89% ya wakazi wote ni wakulima kuwa atakapokuwa mbunge ataishauri serikali ya UKAWA chini ya rais Edward Lowasa itoe ushuru kwenye pembejeo ili pembejeo ziuzwe bei ya chini kila mkulima amudu.
ameweka mfano kuwa tanzania,malawi na zambia wote wanatoa mbolea aina ya DAP japani lakini tanzania mfuko wa mbolea ya DAP ni Tsh.75,000 wakati malawi ni dola 9 ambayo sawa na Tsh.18,000 na zambia ni dola 12 ambayo sawa na Tsh.25,000 na bado zambia na malawi wanalipia ushuru tanzania kwa kuwa wanatumia bandari ya dar es salam.
mkisi ameyasema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni zake kata ya ichenjezya jana tarehe 18/9/2015.
like na share kumpa sapoti mbunge makini huyu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


tunataka mabadiliko
ReplyDelete