Welcome to the blog of Mr. Chesco Kilemile who is a renowned singer who came on in the industry singing gospel music. If you like this blog tourism will get to know my work and events relating to the preparation of my work in general ..... thank you for visiting this blog .....

Friday, September 18, 2015

MSAFARA WA SUGU WASHAMBULIWA KWA MAWE AKIELEKEA KATIKA MKTANO WA KAMPENI

 Gari la Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya mjini kwa pitia tiketi ya Chadema Mh.Jiseph Mbilinyi Sugu likiwa kituo cha polisi jijini mbeya mara baadaa ya kushambuluwa kwa mawe

Sugu akiwa kituo cha polisi na wafuasi wake
Mgombea wa ubnge kupia Chadema Joseph Mbilinyi Sugu kupia jimbo la Mbeya Mjini akiwa katika Mjini mara baada ya kushambuliwa na watu wasiojukana akiwa katika kampeni zake za kuomba kura kwa wananchi mara ghafla akajikuta akishunmbuliwa akiwa katika gari la aina ya Land Cruser VX lenye usajili T161 CPP.  Watu wawili wajeruhiwa katika tukio akiwemo dereva wake
Tukio hilo lilitokea Majira ya 11 jioni katika Kata ya Ghana mtaa wa Mbata jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment