Umezaliwa kipindi kizuri, ndani
ya uongozi wa LOWASSA utapata huduma bora ya afya, utasoma bure kuanzia
chekechea hadi chuo kikuu na mamako hatahangaika kwenda kutafuta maji na
Kukuombea kwa jirani. Hutalala gizani, hamtapikia kuni gesi iko mpaka
inamwagikia msumbiji, kuna raha kama hiyo?

No comments:
Post a Comment